by G online
Welcome to my world of Positivity is Key to success,we spread positive mind,vibes, life & love, for all of us to achieve one goal that we been struggling with.Here we are going to have diffferent topics on how to achieve ours goals and live our dream life. Put all negitivity away and and stay positive and this channel is gonna help you to achieve that, remember POSITIVITY IS KEY TO SUCCESS.
Language

Publishing Since
6/3/2021
Email Addresses
1 available
Phone Numbers
0 available
January 8, 2024

Ukamilishaji wa malengo,ndoto uchochea mafanikio ya kila mmoja wetu, ni matokeo ya nidhamu ya hali ya juu, bila nidhamu ya muda wako, pesa zako au marafiki na mengineyo ni ngumu sana kufanikiwa katka malengo na ndoto zako. Kwa kuzingatia hilo 2024 nataka uwe bora kwako, kwa kuanzi kujua vitu au mambo amabyo utufelisha wengine kila mwaka. Na ndo maana kwenye video nitakuelezea mambo yanaweza kukuzuia kufikia malengo, ndoto na mafanikio mwaka huu 2024. Najua kila mwaka uwa tunautaratibu kuweka malengo, na resolutions mbalimbali lakini kufikia February unakata tamaa kwasababu ya changomoto au mambo ninayoshare na wewe leo. Karib

December 4, 2022

Kutunza pesa limekuwa ni jambo gumu sana kwa wengi na wengi wamekuwa wakifikri kuwa ili uweze kutunza pesa lazima uwe na mshahara mkubwa au kipato kikubwa sana jambo ambalo si la kweli. Swali ni unawezaji kuweka pesa/fedha ukiwa na mshahara/kipato cha kawaida? "Siyo Kiasi gani chA fedha tunaingiza ndicho kitakachoamua mafanikio yetu bali ni kwa kiasi gani tunaweza kutunza" Hii inafananishwa na tabia ya masikini walio wengi katika kutafuta na kutumia pesa.Masikini hutengeneza fedha kisha huzitapika kwa kuwa na matumizi yasiyo ya lazima na hatima'ye huendelea kuwa masikini. Mafanikio yanataka juhudi nza muendelezo na kujitoa sana.Iwapo hatuwezi kulipa gharama kwenye maisha yetu, basi hatuwezi kufanikiwa katika kitu chochote na moja ya gharama kubwa sana tunayohitaji kulipa ili tuweze kufanikiwa kifedha ni wezo wa kuweka angalau 10% mpaka 20% ya kila fedha tunayoipata kwa malengo yetu ya baadaye. Unaweza kuanza kuweka angalau 10% au hata 5% ya kila mapato yako ya siku, wiki au mwezi kwaajili ya lengo lako maalumu ulilojiwekea bila ya kuangalia shida ulizo nazo sasa hivi. Kwahiyo unawezaje kuweka pesa ukiwa na mshahara wa kawaida.Karibu

June 3, 2021

Sio kila mtu wa kumwambia mawazo/ndoto/malengo yako, kwasababu si kila mtu anaweza kuona kile ambacho wewe unaona.Ni mara ngapi una wazo zuri la Biashara, Podcast, Youtube, na ukimwambia rafiki au mtu wako wa karibu wanalizima kwakukwambia/ kukupa ushauri hasi na kukuonesha kuwa ilo wazo ni ngumu kufanikiwa au hailiwezekani kabisa, kuwa tu mkweli ni mara ngapi hii imekukuta.Mara nyingi right, tena wengine waliokuambia hivyo ni ndugu zako wa karibu kabisa familia na hiyo ndo mbaya zaidi.

Albert Einstein - Alishawahi kusema kuwa "IMAGIMATION IS EVERYTHING, IT IS THE PREVIEW OF LIFE COMING ATTRACTIONS"- Maono/Mawazo ni kila kitu ni kukuonesha vivutio vya maisha yanayokuja.

Ushawahi kuimagine umefungua biashara unayoipenda na imefanikiwa? Ushaimagine unaendesha gari ya ndoto zako? So hayo ni maono ambayo ukifanyia kazi kwa bidii, utafika huku.Lakini kwanza unapeleka kwa mtu anakushauri, lakini majibu yake yamejaa kukatishwa tamaa na maneno hasi tupu.

Pod Engine is not affiliated with, endorsed by, or officially connected with any of the podcasts displayed on this platform. We operate independently as a podcast discovery and analytics service.
All podcast artwork, thumbnails, and content displayed on this page are the property of their respective owners and are protected by applicable copyright laws. This includes, but is not limited to, podcast cover art, episode artwork, show descriptions, episode titles, transcripts, audio snippets, and any other content originating from the podcast creators or their licensors.
We display this content under fair use principles and/or implied license for the purpose of podcast discovery, information, and commentary. We make no claim of ownership over any podcast content, artwork, or related materials shown on this platform. All trademarks, service marks, and trade names are the property of their respective owners.
While we strive to ensure all content usage is properly authorized, if you are a rights holder and believe your content is being used inappropriately or without proper authorization, please contact us immediately at [email protected] for prompt review and appropriate action, which may include content removal or proper attribution.
By accessing and using this platform, you acknowledge and agree to respect all applicable copyright laws and intellectual property rights of content owners. Any unauthorized reproduction, distribution, or commercial use of the content displayed on this platform is strictly prohibited.